Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,816
- 58,460
Asee hii ngoma π€£π€£π€£SIJIWEZI Lyrics By Poor Brain Featuring Ms R
VERSE 1 Poor Brain π§
Koh koh koh
Bomboclat
Oooh baby nataka nikwambie vile moyo wangu what i feel,
Are you ready uisikie nafsi yangu upande wa pili
Acha nijimalize kwako mi zaidi ya bwege, mi TID we ndo zeze nalipiga njoo tucheze
CHORUS Poor Brain
Oooh mapenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
Wallah sijiwezi we kuti na mkwezi, maganda bila ndizi,

VERSE 2 Ms R
I got you you got me baby, uko sambamba na mimi my dady,
Iwe kwa shida na raha oooh baby, ooh baby, oooh my dady
Umenipa dozi daktari baba, umenificha mi sitoki ndani
Ntakupa dooh vitu vya thamani sijiwezi niko taabani.
Uwepo wako naamini maradhi yangu yatapona
And i will be waiting for this but now i found love.
In this song baby your dedication pack vitu twendege vacation
Twende far away no location au Zanzibar Indian ocean
Wacha nijimalize mi kwako zaidi ya bwege, mi TID na we ndo zeze nalipiga njoo tucheze
Oooh kipenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,

Ka mix laizer
Wa memchokoza beaaa
Kimambo on the beats
The mix killer
Director BICHWA KOMWE -
Napika vitu...πππππππwe boya umekula bangi gani leo,, nilshangaa upo kmya kumbe ulkua studio
Huo ni mwanzo tuu vigogongo zaidi vinakujaAsee hii ngoma π€£π€£π€£
Labda utoboe matobo ya makopoNapika vitu...
Nakwambiaje mwaka huu mi waniroge tuu ila kimziki nishatoboa mis
Mtu ambaye Ni zaidi ya bwege anakuwaje mkuu?SIJIWEZI Lyrics By Poor Brain Featuring Ms R
VERSE 1 Poor Brain π§
Koh koh koh
Bomboclat
Oooh baby nataka nikwambie vile moyo wangu what i feel,
Are you ready uisikie nafsi yangu upande wa pili
Acha nijimalize kwako mi zaidi ya bwege, mi TID we ndo zeze nalipiga njoo tucheze
CHORUS Poor Brain
Oooh mapenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
Wallah sijiwezi we kuti na mkwezi, maganda bila ndizi,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
VERSE 2 Ms R
I got you you got me baby, uko sambamba na mimi my dady,
Iwe kwa shida na raha oooh baby, ooh baby, oooh my dady
Umenipa dozi daktari baba, umenificha mi sitoki ndani
Ntakupa dooh vitu vya thamani sijiwezi niko taabani.
Uwepo wako naamini maradhi yangu yatapona
And i will be waiting for this but now i found love.
In this song baby your dedication pack vitu twendege vacation
Twende far away no location au Zanzibar Indian ocean
Wacha nijimalize mi kwako zaidi ya bwege, mi TID na we ndo zeze nalipiga njoo tucheze
Oooh kipenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
Wallah sijiwezi we kuti na mkwezi, maganda bila ndizi,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
Ka mix laizer
Wa memchokoza beaaa
Kimambo on the beats
The mix killer
Director BICHWA KOMWE -
Niache mm πππ
Ushindwe wewe tu.πππππππwe boya umekula bangi gani leo,, nilshangaa upo kmya kumbe ulkua studio
Anakua ajiwezi mkuu yaan unavoniona mimi mpaka nafikia hii stage ndo ubwege wenyewe huuMtu ambaye Ni zaidi ya bwege anakuwaje mkuu?
ππππ Mpaka cha kuongea huna mkuuAisee
Daaah mzigo huu naimani ataelewa tuu ππππUshindwe wewe tu.
Usiseme hivo mbona unanikatisha tamaa mapema misLabda utoboe matobo ya makopo
Kesho asubhi atakuwepo hapa sema naomba mpuuzieni kwa maneno yake ya hovyo ila ni Director mzur sana ππππDirector bichwa yuko wapi π€£
Mbona producers wengi hv? Au n ngoma la kuchukulia tuzo za mbele?Ka mix laizer
Wa memchokoza beaaa
Kimambo on the beats
The mix killer
Daaah kuniandamaUshindwe wewe tu.