I issa mdemu Member Joined Feb 10, 2017 Posts 13 Reaction score 3 Dec 9, 2017 #1 POLISI ILULA mpo likizo?? mbona watumia madawa ya kulevya bado wametapakaa maeneo ya Bismilah Hotel ya zamani???
POLISI ILULA mpo likizo?? mbona watumia madawa ya kulevya bado wametapakaa maeneo ya Bismilah Hotel ya zamani???
Kungun JF-Expert Member Joined Dec 9, 2016 Posts 207 Reaction score 194 Dec 9, 2017 #2 Kamwene bwana Isa sa kukaye?
I issa mdemu Member Joined Feb 10, 2017 Posts 13 Reaction score 3 Dec 9, 2017 Thread starter #3 halo hapa ILULA bado mbaya shauri ya wavuta bangi wananikera sana
Midumare Ngatuni Iwato JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 1,653 Reaction score 2,051 Dec 9, 2017 #4 Ndugu zangu wa ilula amjambo,nimewakumbuka sana,,,nitakuja tena kuwasalimia.....mnamkumbuka yule kaka kwenye vitambulisho vya Taifa...aliyekuwa akiwachekesha sana,,,,nawapenda sana ndugu zangu
Ndugu zangu wa ilula amjambo,nimewakumbuka sana,,,nitakuja tena kuwasalimia.....mnamkumbuka yule kaka kwenye vitambulisho vya Taifa...aliyekuwa akiwachekesha sana,,,,nawapenda sana ndugu zangu