Haka kakituo ni kapya hakajamaliza hata mwezi,wamemwagwa hapo askari kutoka makao makuu ya polisi ni very corruptive,sidhani toka kituo hicho kimeanza kazi kama kuna kesi hata moja imefikishwa mahakamani,wanacompromise na waharifu kuliko kawaida sababu ya rushwa.
Nimetoka hapo asubuhi hii kufuatilia malalamiko yangu nimekuta mpelelezi wa kesi anakunywa chai na mhalifu ambaye ndio kasettle bill mbele ya macho yangu,hii ni hatari ila kwa upande wangu kitaeleweka tu na simpi mtu mia.

Hicho kituo kipo siku nyingi sana ila kwasasa ndio wamejengewa jengo jipya. Kunywa chai na mtuhumiwa sio tatizo ila hakikisha tu kesi inafika mahakamani.
Haka kakituo ni kapya
hakajamaliza hata mwezi,wamemwagwa hapo askari kutoka makao makuu ya
polisi ni very corruptive,sidhani toka kituo hicho kimeanza kazi kama
kuna kesi hata moja imefikishwa mahakamani,wanacompromise na waharifu
kuliko kawaida sababu ya rushwa.
Nimetoka hapo asubuhi hii kufuatilia malalamiko yangu nimekuta mpelelezi
wa kesi anakunywa chai na mhalifu ambaye ndio kasettle bill mbele ya
macho yangu,hii ni hatari ila kwa upande wangu kitaeleweka tu na simpi
mtu mia.