wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Nikikidondosha mimi eneo la tukio nikikimbia?Fikiria kuwa umedondosha kitambulisho chako cha chuo na kikaokotwa na mtu, mtu huyo akaenda kushiriki tukio la kihalifu kubwa sana na akakidondosha pale. Unafikiri nini kitatokea kama sio wewe kukamatwa na upelelezi kuanza na wewe?
Vitu vingine tunaona vya kawaida lakini likitokea la kutokea ndiyo utaona umuhimu wake.
Utakimbilia wapi katika hii Dunia ambako hutaweza kukamatwa? Labda ukimbilie mbinguni!.Nikikidondosha mimi eneo la tukio nikikimbia?
Vp nikifanya uhalifu kisha nikadondosha kitambulisho changu hapo halafu nikaenda kuripoti upotevu?Utakimbilia wapi katika hii Dunia ambako hutaweza kukamatwa? Labda ukimbilie mbinguni!.
Hii ya online lazima tena uende kituoni ili ithibitishwe ndipo itoke.Hata hii ya online bado ni tatizo kwako mtoa mada?
Katika hili polisi wamejitahidi kupunguza mlolongo, ni vile watu hatuelewi.
Huyo issuer wa ID yako yeye atatakiwa kukupa barua ya kukutambua tu kama ni mteja na wakati mwingine itahitajika hiyo barua kuthibitisha umepoteza hicho kitu kweli.
Salam ndugu,
Kuna huu ukasumba kila unapopoteza kitu ama nyaraka basi ni lazima ulipoti polisi na upewe barua.
Hapa nitazungumzia upande wa vitambulisho, mfano chuo, NHIF, kadi ya benki n.k
Sasa mimi kama" id holder" naripoti kwako id issuer" kuwa nimepoteza kadi yangu ya utambulisho,hunipi huduma eti hadi niende polisi.
Sasa kati ya polisi na wewe mtoa kadi nani anazotaarifa zangu?
Maana chochote kitachotokea,mwenye kitambulisho atahusika.
Binafsi naona huu ukiritimba uondoke tu maana unapoteza muda kwenye kupata huduma.
Ibakie uamuzi wa muhusika kama anaona inampendeza kuripoti polisi.
Fikiria kuwa umedondosha kitambulisho chako cha chuo na kikaokotwa na mtu, mtu huyo akaenda kushiriki tukio la kihalifu kubwa sana na akakidondosha pale. Unafikiri nini kitatokea kama sio wewe kukamatwa na upelelezi kuanza na wewe?
Vitu vingine tunaona vya kawaida lakini likitokea la kutokea ndiyo utaona umuhimu wake.
Kisheria utakuwa na defense ya Alibi, una pa kuanzia pa kujitetea.Kwahiyo hiyo report itakuokoa kwa kipi hapo wakati umelipia tu 500 online
Mtu alidondosha plate no ya bodaboda.Fikiria kuwa umedondosha kitambulisho chako cha chuo na kikaokotwa na mtu, mtu huyo akaenda kushiriki tukio la kihalifu kubwa sana na akakidondosha pale. Unafikiri nini kitatokea kama sio wewe kukamatwa na upelelezi kuanza na wewe?
Vitu vingine tunaona vya kawaida lakini likitokea la kutokea ndiyo utaona umuhimu wake.
Mkuu vyeti ulifanikiwa kupewa vingine ? Nimepoteza pia sijui pa kuanzia ! Mchakato ukoje ?Nilipoteza vyeti vyangu vyote vya shule, nikaambiwa niende polisi nipewe loss report, halafu mahakamani , na mwisho wizarani nipewe vingine. Nilienda mara 4 polisi oysterbay bila mafanikio, kila nikienda mtandao hauko sawa
Hivi vyeti vya shule huwa vinapoteaga vipi? Kwamba unatembea navyo kama simu au wallet, huwa nashangaa mtu anasema amepoteza vyeti vyote vya shuleNilipoteza vyeti vyangu vyote vya shule, nikaambiwa niende polisi nipewe loss report, halafu mahakamani , na mwisho wizarani nipewe vingine. Nilienda mara 4 polisi oysterbay bila mafanikio, kila nikienda mtandao hauko sawa
Vigezo vya kumuhusisha (au kutomhusisha) mtu na tukio la uhalifu viko vingi,kitambulisho kilichopatikana eneo la tukio ni mojawapo. Ila hila ya mtu kukidondosha (baada ya kufanya tukio) na kuwahi kwenda kuripoti kituoni nayo haiwezi kukugarantee kuwa wewe hujahusika.Unaweza kutwishwa mzigo wa kuthibitisha kwa ushahidi kwamba muda wa tukio hukuwepo eneo la tukio.Kifupi defence of ALIBI itakuhusu.Vp nikifanya uhalifu kisha nikadondosha kitambulisho changu hapo halafu nikaenda kuripoti upotevu?