BREAKING NEWS
Kamati kuu ya klabu ya Manchester United imeomba shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) iifanyie uchunguzi klabu ya Juventus kama Pogba walieuziwa ni wa ukwel..??
kizuri hakununuliwa kwa ajili ya kucheza na manchester city kuna game zaid ya 34 ikiwa game moja inaweza kutoa umahiri wa mchezaji basi wakina ashavin wangekuwa mbali
ushamalizana na jamaa kule kumtimua wenger? anawapwelepweta balaa waliotia mzigo kimya wana amani ila vile vipiga chabo vinateseka balaa chabo mbaya chukua wa kwako