SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Sidhani kama kosa ni hilo!!
Tatizo ni Mourinho "ambae ni kocha wa KUSAJILI kila club aendayo" na siyo kocha wa kufundisha mpira. Hajui mpira, anataka mafanikio ya fasta kupitia wachezaji bora. Laiti, Mourinho angepewa kikosi cha Man City na Pep Gurdiola akapewa kikosi cha Man Utd walai wangekula 7!!
Angalia show GAME ya Man City, kama vile SAMBA ya SPAIN imehamia ENGLAND. Tena kwa kikosi cha vijana wadogo sana na wasio na majina makubwa. Pep huimiza utumiaji wa AKILI (Kichwa) wakati Mourinho huimiza kutumia NGUVU.
Kama kuna biashara ya hasara manure wameifanya basi hiyo ya kumnunua porkba kwa hizo pesaa ndefu.
Duuuu! Tusio fuatilia habari za mipira tukazani huyo pogba hayupo Man Utd Ila analipwa mshahara, kumbe hupo bwana. Sasa nawashauri mwandike "POGBA AMEGUSHI VYETI VYA USTRIKER ".at least itasound.
Tena wa kawaiiiidaPogba hastahili thamani ya pound million 100,ni mchezaji wa kawaida tu
Duuuu! Tusio fuatilia habari za mipira tukazani huyo pogba hayupo Man Utd Ila analipwa mshahara, kumbe hupo bwana. Sasa nawashauri mwandike "POGBA AMEGUSHI VYETI VYA USTRIKER ".at least itasound.
Mbona mbaya tuu bromkuu nimeikubal hyo avata yako
Nakubaliana na ww mkuu, pogba akae 6 af herera 8, fellain mzito mno, halaf smalling na baily pale nyumaKumbuka Man City walikuwa na viungo wengi wanaocheza karibu karibu.
Wakati Man U walikuwa na viungo wachache wanaocheza mbali mbali. Angalia Space iliyokuwepo kati ya Fellaini, Pogba, Micki, Lingard na Rooney utaelewa.
Wenzake walim isolate peke yake kati ya dimba, ikawa inabidi alazimike ku drible ili kuwafikia. Hiyo ilimfanya kuchoka mapema.
Mpira ni ushirikiano, ndicho walichotuonyesha City leo. Huwezi kufanikiwa kwa kutumia mchezaji mmoja mmoja.
At least Herrera aliongeza balance pale katikati kabla ya Pep kuua game kwa kumuongeza Fernando.
Mou anapaswa aanze kumuamini Herrera ili kumsaidia Pogba, Fellaini ni mrefu, ana maguvu, lakini hawezi ku cover space kubwa kusaidia wenzake.
Pia, ni muda muafaka kumchezesha Smalling kwa sababu Blind ameanza kurudia makosa ya last season, si mzuri kukaba (timu ikiwa under pressure).
Pogba "The Slow but Sure man"
Still nina Imani, ndo game zinaanza.
Yap, Pogba alikuwa mzuri sana kule Juve alipocheza namba 10 mbele ya akina Marchisio. Hata Morgan anaweza kucheza hiyo namba 6, Pogba akasogea nyuma ya Ibra ... Rooney hana kasi tena, apumzike, abaki kusaidia.Nakubaliana na ww mkuu, pogba akae 6 af herera 8, fellain mzito mno, halaf smalling na baily pale nyuma