Plugs za Subaru Forester XT

mwambyetete

Senior Member
Joined
May 17, 2018
Posts
132
Reaction score
203
Wapendwa Kheri ya mwaka Mpya.
Naomba msaada Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata plugs original za Subaru Forester XT ya 2009. Nilipatwa na changamoto iliyopelekea kutoa plugs za kuja na gari ! Niko mbeya mjini
 
Mkuu tuambie vizuri gari yako ilianza vipi kusumbua Hadi ukagundua tatizo ni plug? Mimi nataka nipate elimu kidogo na uzoefu kutoka kwako ili siku nyingine nikipata tatizo kama lako nisisumbuke

N,B
Jaribu kupata mawasiliano na huyu jamaa JituMirabaMinne anauza plug original na atakutumia Hadi Huko mbeya kumbuka huyu ni mtaalamu wa UMEME wa magari atakusaidia
 
Asantee saaana Mkuu,,,gari iliwekwa diesel bahati mbaya ndio chanzo Cha kubadili plug baada ya hapo kupata plugs original imekuwa shida
 
Mkuu kwema!?
 
Nitumie Chases number inbox nikuangalizie bei zake ipo gari inatoka wiki ijayo ukikubali bei nanunua unalipa ikifika mby na hata ukitaka baada ya kufunga namtumia Fundi Mby hapo anazifunga unalipia baada ya kujaribu gari yako...nipo Johannesburg parts zote za Subaru,Ford,BMW na ndugu zake napakia sana.
 
Salama kabisa mkuu
Naomba siku uweke uzi kuhusu subaru Forester hyo yako kwa uzoef wako, kama ulivyofanya kwenye rumion πŸ™ unatusaidia sana hususan mm sikua na mpango wa rumion baadae nikanunua kutokana naule uzi now nataka subaru so ilitupate abc tupia uzi mzee wangu πŸ™
 
Haina shida mkuu nahisi kuanzia wiki ijayo nitaweka uzoefu nilioupata Kwa mwaka mmoja na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…