Plots for sale at Bunju A

valid statement

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
2,855
Reaction score
895
Viwanja vinauzwa eneo la bunju A.
eneo liko bunju A, Ni kama km 1 kutoka barabara ya bagamoyo.Kama unaenda na daladala unashukia Bunju CCM au Bunju Polis. Viko karibu kabisa na Chuo kubwa kinachojengwa cha Don Bosco.
Viko vitalu 11 vilivyoungana na vya ukubwa tofauti na vina mchoro.
Viwanja ni vizuri kwa matumizi ya ujenzi wa nyumba ya kuishi, kuwekeza au kujenga tasisi kama shule au hata housing estate(kama utachukua lote)

Vinauzwa kwa kimoja kimoja au kwa mwenye uwezo kama mtu binafsi/taasisi/kampuni anaweza chukua vyote.
Vimekatwa katika ukubwa tofauti ila kidogo kabisa ni 1000sqm na kikubwa kabisa ni 3157sqm. Ukubwa wa eneo lote ni sqm 20,489.
Bei ni 40,000/= kwa 1sqm (mlango wa maelewano upo wazi).

Kwa mawasiliano nipigie tuongee zaidi 0683 666784
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…