Plot for sell kunduchi bichi

i411

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
906
Reaction score
297
Plot for sell ipo kunduchi bichi karibia na nyumba za polisi ndani kidogo. Milioni 32, maelewano piga +255 719600 705 na 0713 536 471
 

Attachments

  • A1E24CEF-60B5-47E5-8AFC-FA4CA38B1629.jpg
    99.1 KB · Views: 79
Jamani hiki kiwanja sasa ni 20M pesa inahitajika haraka
 
Plot for sell ipo kunduchi bichi karibia na nyumba za polisi ndani kidogo. Milioni 32, maelewano piga +255 719600 705 na 0713 536 471
View attachment 57562View attachment 57563View attachment 57564View attachment 57565View attachment 57566
Hicho kiwanja na wasiwasi ni utapeli aidha kipo ndani ya hifadhi ya serikali kwenye mikoko ambapo hakuruhusiwi kujengwa au vinginevyo, kwa maana kunduchi hamna kiwanja cha mil 20 sh! mimi huko ni kwetu hivyo nakujua vizuri sana, hiyo bei haiwezekani ni ndogo mno, lazima kuna kitu!
 
ni kweli bei rahis sana, ni kutokana na matatizo aliyonayo.....ndo mana ameshusha bei kiasi hiko.

haipo kwenye hifadhi yeyote, and any legal process is allowed before purchasing

Kiwanja bado hakija-process-iwa hati, ila majarina wameshapimiwa.

Ukubwa wa kiwanja ni 20 X 40

HAKUNA MATATA

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…