Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Pia nami ninacho kiwanja safi sana, kipo Kivule Chakenge kipo jirani na mahali inapojengwa hospitali ya wilaya ya Ilala, kama inahitajika piga simu namba 0755214620
Miguu 35 kwa 30 gari mpaka kiwanjani, bei 8.5mil
Sema kwa mita au foot au kipimo kinachoeleweka. Miguu ndio nini? Watu wanatofautiana hapa. Mie ukinitajia miguu nakuja na kipimoMiguu 35 kwa 30 gari mpaka kiwanjani, bei 8.5mil