Mwenzetu JF RekeyesCarl, Thank you. Hapa wapo wenzetu wa kutosha ambao wana dhamira ya kuingia biashara ya ardhi na majengo. EA kuna brain power, tunahitaji tu plani na mbinu. Carl asante kutuletea hii changamoto. Fedha utapata.
SEMA BEI GANI? HOW MUCH?
Wana JF wenzangu, waliokua na lengo la kuingia GREEN INVESTMENT hii mungu akipenda itakua investment yetu ya kwanza, tukikubaliana. Wana JF wote wanakaribishwa. Tusiandikii mate na wino upo. YES, WE CAN DO THIS. WE'VE GOT SOME TOOLS TO GET US ROLLING.
Asanteni