Mjomba Mkude
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 287
- 119
ni pm no yako mkuuNaitaji kuona kwanza. Nakupateje?
ni pm mkuuWeka number fasta nahitaji vi4 vya 25*25 (50*50).
Nime kuPM tayari.ni pm mkuu
kuna taratibu za kufuata b4 haujanunua kiwanja.PM huko ndo watu huwa wanaibiwa hebu njooni hapa
hayo ndio maneno, pamoja na kupata coordinates za eneo hilo na kuchungulia kwenye mpango mama pamepangazwa matumizi yapi, hili jsmbo limekuwa siri kwa wengi, yaani mtu anaangalia digits za bei alafu anafakamia ardhi utafikiri togwa. Ardhi iogopwe kwa sasa, Usijitupe tu ukainunua bila utaratibu mahususikuna taratibu za kufuata b4 haujanunua kiwanja.
1.kujua majirani wanaomzunguka na kumtambua kama ni mmiliki.
2.kwenda ofisi za serikali za mtaana na kuhakiki uhalali/mmiliki wa muuzaji.
3.Kwenda wizarani na kuhakiki kama eneo sio open space /soko/barabara/huduma as jamii bali liwe eneo la makazi.
Well said mkuukuna taratibu za kufuata b4 haujanunua kiwanja.
1.kujua majirani wanaomzunguka na kumtambua kama ni mmiliki.
2.kwenda ofisi za serikali za mtaana na kuhakiki uhalali/mmiliki wa muuzaji.
3.Kwenda wizarani na kuhakiki kama eneo sio open space /soko/barabara/huduma as jamii bali liwe eneo la makazi.
Mtu makini hawezi kutoa hela yake kihasara hasara.wakuu Bunju A sio rahisi kupata plot 25 kwa 25 kwa bei hiyo ml 3 kwa hata huwe milioni 10 cash huwezi kupata 7bu hata mabwepande kwenyewe pesa hiyo kupata 15 kwa 10 mtihani unatafuta kwa tochi
angalizo mtauziwa kiwanja kimoja watu 50
kuweni makini kabla hamjafanya bussnes mm nilinunua plot bunju b 20 kwa 16
ni kama mita 300 au 250 toka bagamoyo road ni upande wa kushoto ukiwa unaenda bagamoyo nilinunua mili 8 hiyo ni mwaka 2013 mwishoni na hakija pimwa wala nini sasa hivi watu wanafika mpk 15mln lkn sijakiuza sembuse bunju A labda huko mapinga na ndanindani ndo hutapata kwa bei hiyo
yaan hapa nasikia harufu ya utaperi tu
kuweni makini
nb:-
hayo nimetoa tu maoni yangu
sasa mkuu kama pooltable imepigwa marufuku lazima vijana waopt trial and error.wakuu Bunju A sio rahisi kupata plot 25 kwa 25 kwa bei hiyo ml 3 kwa hata huwe milioni 10 cash huwezi kupata 7bu hata mabwepande kwenyewe pesa hiyo kupata 15 kwa 10 mtihani unatafuta kwa tochi