Please naomba ushauri wenun kama zangu katika jamii forums


'Babu jinga mali yako inaliwa' Ulishawahi kuisikia nyimbo hiyo? Shauri ni lako iwapo unafurahia taji hilo.
 
kama alishatamka kuachana na wewe, pole sana, jiulize mko wangapi?
halafu hilo beat umeliona hapo ktk red?

nina kazi kubwa sana sasa hivi katika maisha yangu, KAZI KUBWA MBILI :
1.NIFANYE NINI ILI NIONGEZE KIPATO..a.k.a CASH
2.NITAZITUMIAJE NIKIZIPATA AU ZIKIONGEZEKA....

ACHANA NA HUYO KIMWANA MTU MZIMA....I MEAN MPOTEZEEEEEEEEEEEEEE!

 
Kwa kifupi unaibiwa kiwazi wazi! Dunia ni yako na chaguo ni lako!
Kumbuka ukicheka na nyani, utavuna mabua, na kwa hali ya sasa utavuna magonjwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…