haaaaa yuko kitaa Luna watu anawatafutaWasijaribu hivi sasa kwani tunaliombea sana Taifa. Mungu aliyeondoa corona bado yupo Tanzania anazunguka zinguka kuondoa waovu kwenye viti vyao
Niliweka madhuri sitaipigia kura ccm Na hii ni mara 6 bado nina imani MUNGU ATANIWEKA HAI KURA NGAU ITAIONDOA CCMAhsante mkuu tupo pamoja
Umenikumbusha askari wa wayahudi wakipoulizwa na Yesu Kristu kuwa:
Watuwekee lisu hata tukishindwa tutakuwa na amani tele mioyoni!! Na hakuna wa kulaumiwa!! Mambo ya Kachero mbobezi watuache kwanza, na huyu CHIBA WETU!!!Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Hata agombee nani hakuna anayeweza kushindana na Magufuli, na lengo LA CCM siyo kuchukuwa Urais lengo lake ni kuchukua majimbo yote ya uchaguzi bass.
CCM ni chama cha mapinduzi.Wakuu sina imani na wajumbe wa mkutano mkuu hasa wanaotoka mkoa wanaweza kupindua meza wakampa Nyalandu au yule mama maana akili ya wajumbe huwa wanaijua wenyewe.
Wajumbe ni wakata umeme wahuni sana wasiofaa kuwapa nafasi ya maamuzi kwenye mambo nyeti kama haya.
Laiti ningekuwa Mbowe ningeprint form moja tu ya Lissu anayetaka akatoe copy kwake kama walivyofanya upande wa pili. Haiwezekani mtu akubalike na wananchi wengi alafu tuanze upuuzi wa demokrasia. To hell with democracy, TL for presidency.
Unafiki wenu tu.Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejea
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.
Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"
I wish him all the best.
Paskali
Mkuu ni wewe au?Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejea

Sema chadema sio watanzania .Mleta mada uko sahihi, Hawa akina Nyalandu na Msigwa kwa kutumia kichaka cha demokrasia wanataka kuchelewesha ndoto za Watanzania kumuondoa Jiwe Madarakani.
Sasa hivi tulipaswa tuwe tunaongea namna gani ya kumsaidia Lissu ashinde, siyo kujadili tutampata lini mgombea wa uraisi kupitia Chadema.
Na Chadema wajifunze, wasipompa Lissu tiketi ya kugombea kwa sababu zozote za kimagumashi basi chama kitapata pigo kubwa sana hata kuweza kuwatoa katika reli.
Mtu aliyesimama kuuchallenge utawala wa Magufuli, jasiri asiyeogopa ndiye anayepaswa kupewa tiketi ya kupambana na Magufuli.
Kusimamisha mtu legelege kupambana na Magufuli ni kuuza mechi
Nyie wazee wa alile Kako Makiembe hawezi wasahauHuku Kyela tunasema ndaga nkamu
Hahaa kweliMkuu KITiMOTo yaani Ccm walikukataa, pamoja na kujipendekeza, huku jf pia tumekupuuza
Kweli.. pia mh Bernad Membe aelewe hili na ashiriki kumnadi TL. Ni Bora BKM apewe u PmTupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Akijipitisha MBOWE TU rasmi naenda ACTMleta mada uko sahihi, Hawa akina Nyalandu na Msigwa kwa kutumia kichaka cha demokrasia wanataka kuchelewesha ndoto za Watanzania kumuondoa Jiwe Madarakani.
Sasa hivi tulipaswa tuwe tunaongea namna gani ya kumsaidia Lissu ashinde, siyo kujadili tutampata lini mgombea wa uraisi kupitia Chadema.
Na Chadema wajifunze, wasipompa Lissu tiketi ya kugombea kwa sababu zozote za kimagumashi basi chama kitapata pigo kubwa sana hata kuweza kuwatoa katika reli.
Mtu aliyesimama kuuchallenge utawala wa Magufuli, jasiri asiyeogopa ndiye anayepaswa kupewa tiketi ya kupambana na Magufuli.
Kusimamisha mtu legelege kupambana na Magufuli ni kuuza mechi
Asa hana mpinzani na wakati vyama vinasimamisha wagombea we chenga kweli hana mpinzani atagombea peke yake nchi nzima?Hata agombee Lissu Magufuli hana mpinzani
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Wagombea wote kwa ujumla watapata kura zisizozidi milioni moja, sasa huo ni upinzani au kusindikiza?Asa hana mpinzani na wakati vyama vinasimamisha wagombea we chenga kweli hana mpinzani atagombea peke yake nchi nzima?