Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Mbona mgombea wa chadema anafahamika tayari hayo majina mengine ni kutimiza column tu hata Ccm wanamuhofia huyo kuliko hao wengine.Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Huo Ni mtazamo wako Mkuu..Angalizo muhimu sana kuhusu Lisu kufanyiwa mizengwe. Lisu ndio anayefaa, na iwapo atafanyiwa fugisu na Magufuli, basi wajiunge na Act, na Zito atafaa kuliko hao wagombea wote wa cdm.
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Tuko familia ya watu kama 50hivi sote twamfagilia sana Lissu.Lissu ana kura za ukoo wangu wote karibia watu 500
Kwa kutegemea bunduki sawa Ila sio kwenye uchaguzi halaliHata agombee Lissu Magufuli hana mpinzani
Kaka mbona una hasira sana.NAUNGA MKONO HOJA kama hawato msimamisha Lissu ,,Itakua ndoto kupata walau jimbo moja!.. Mgombea Urais Ana mchango mkubwa katika kupata Wabunge !.... KAMPENI ZA LISSU ZITAHUDHURIWA NA MAFURIKO ZAIDI YA EDDO!... Mkicheza mnakizika chama,, mtabaki kuropoka Twiter,,Facebook na Instagram,,,
Akusome tena etii??Asante sana Mkuu ila nisome tena!.
P
Wewe uliongea nao lini mkuu?
Huo Ni mtazamo wako Mkuu..
Tundu lissu anaondolewa kwenye reli kabla mchezo haujaanza ... jezi anapewa veteran...BOOM GAME OVERInaonekana hii nchi ndio haitujui. Unadhani hapo ndio utatutoa kwenye reli?
Mkuu I smell something fishy!... Lissu ndo the best candidate aliepo CDM na asie na mawaa anauzika ki urahisi kwa wananchi!... Leo utuwekee Nyalandu? kweliii tuanze kujieleza kuhusu Twiga na Aunt Ezekel?...JPM is not that WORSE Aisee atapiga zaid ya 98%,,,,Na CDM ndo tunaizikaKaka mbona una hasira sana.
Unachoamini ni hicho kuwa mna Rais wa mtandao ya kijamii. Hongereni.Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Amechambua vizuri sana Pascal. Very objective, Lisu anaweza kuwa pacemaker tu. Sidhani kama he has the courage to come backRudia kunisoma, mimi nasimama na ukweli.
P
Tundu lissu anaondolewa kwenye reli kabla mchezo haujaanza ... jezi anapewa veteran...BOOM GAME OVER
Kaka mbona una hasira sana.NAUNGA MKONO HOJA kama hawato msimamisha Lissu ,,Itakua ndoto kupata walau jimbo moja!.. Mgombea Urais Ana mchango mkubwa katika kupata Wabunge !.... KAMPENI ZA LISSU ZITAHUDHURIWA NA MAFURIKO ZAIDI YA EDDO!... Mkicheza mnakizika chama,, mtabaki kuropoka Twiter,,Facebook na Instagram,,,
Tumekuelewa na umesomekaTupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Asante kwa kuweza kumerge hoja zako umeeleweka poa kabisa.Chadema haiwezi kushinda uraisi halina ubishi
Kimantiki Msigwa kaonesha 'mwelekeo sahihi' wa tunakopaswa kwenda
Lissu ana influence kubwa kulingana na maisha aliyoyaishi hivyo kwa ushindani wa 2020 anafaa ili CDM ipate kura nyingi wapate Ruzuku ya kutosha na wabunge ikiwa wa majimbo na viti maalumu
Hoja zá Msigwa zibebwe na ziwe ndiyo ilani kwani imewavuta frist class na second class ambão uwezo wa kufikiri ni mzuri na wanaushawishi kwa third class kimantiki na si jongo
Mwaka huu Uwe mwaka wa kuonesha mwelekeo sahihi ili watu waamue kubadilika na si kulazimisha kubadilika kwa udhaifu wa mtu au chama bali mwelekeo utangulie katika kutafakari udhaifu wa CCM
Msigwa hás something but for now Lissu is the best candidate
Hapo wachawi wako kazini. Ukisimuliwa kwamba uchawini hakuna mama wala mwana ta za ma hizo picha.