Ukweli dhahiri. Ndo maana pro-CCM "wanaishauri" CHADEMA wapitishe wagombea wengine eti ni wazuri zaidi.Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Hakika Lissu ndiyo turufu ya upinzani. Ni vizuri pia akasindikizwa na wengine ili kuonesha hazina ya viongozi iliyopo upinzani!
Ila habari ya mjini na vijijini ni TL.
Mkuu, wengi siwaoni wakiliwaza hili. Kama, wameweza kudhurumu vingi tu ambavyo vilionekana ni halali, na bado kwa kupitia mahakama, nako kukahalalisha hiyo dhuruma. Sitashangaa akitupwa nje baada ya mapingamizi, tena kutoka hata nje ya CCM.Shida ni kwamba wanaweza kumuwekea lisu zengwe halafu chadema ikapoteza kabisa so nadhani mbowe ni back up in case lissu akahujumiwa ; Japo hujuma yoyote kwa lisu itakuwa na impact kubwa Sana kimahusiano ya Tanzania na mashirika na mataifa ya nje.
Mleta mada uko sahihi, Hawa akina Nyalandu na Msigwa kwa kutumia kichaka cha demokrasia wanataka kuchelewesha ndoto za Watanzania kumuondoa Jiwe Madarakani.
Sasa hivi tulipaswa tuwe tunaongea namna gani ya kumsaidia Lissu ashinde, siyo kujadili tutampata lini mgombea wa uraisi kupitia Chadema.
Na Chadema wajifunze, wasipompa Lissu tiketi ya kugombea kwa sababu zozote za kimagumashi basi chama kitapata pigo kubwa sana hata kuweza kuwatoa katika reli.
Mtu aliyesimama kuuchallenge utawala wa Magufuli, jasiri asiyeogopa ndiye anayepaswa kupewa tiketi ya kupambana na Magufuli.
Kusimamisha mtu legelege kupambana na Magufuli ni kuuza mechi
Hata agombee Lissu Magufuli hana mpinzani
Atamshinda tuPamoja na kuunga hoja mkono TL hawezi kumshinda JPM
Labda NEC wafanye yao, nje ya hapo JPM anapigwa chini asubuhi na mapema
Shida ni kwamba wanaweza kumuwekea lisu zengwe halafu chadema ikapoteza kabisa so nadhani mbowe ni back up in case lissu akahujumiwa ; Japo hujuma yoyote kwa lisu itakuwa na impact kubwa Sana kimahusiano ya Tanzania na mashirika na mataifa ya nje.
NAUNGA MKONO HOJA kama hawato msimamisha Lissu ,,Itakua ndoto kupata walau jimbo moja!.. Mgombea Urais Ana mchango mkubwa katika kupata Wabunge !.... KAMPENI ZA LISSU ZITAHUDHURIWA NA MAFURIKO ZAIDI YA EDDO!... Mkicheza mnakizika chama,, mtabaki kuropoka Twiter,,Facebook na Instagram,,,
Kwa nafasi ya Urais wagombea wa upinzani wapo kwa ajili ya kujitengenezea CV zao tu.
Lissu Rais wangu.
Halima Mdee Mbunge wangu Kawe. Viva Chadema
Ukweli dhahiri. Ndo maana pro-CCM "wanaishauri" CHADEMA wapitishe wagombea wengine eti ni wazuri zaidi.
Mkuu, wengi siwaoni wakiliwaza hili. Kama, wameweza kudhurumu vingi tu ambavyo vilionekana ni halali, na bado kwa kupitia mahakama, nako kukahalalisha hiyo dhuruma. Sitashangaa akitupwa nje baada ya mapingamizi, tena kutoka hata nje ya CCM.
Wasipomsimamisha Lissu naihama Chadema nabaki bila chamaMleta mada uko sahihi, Hawa akina Nyalandu na Msigwa kwa kutumia kichaka cha demokrasia wanataka kuchelewesha ndoto za Watanzania kumuondoa Jiwe Madarakani.