Playstation 3 for sale

43s4all

Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
93
Reaction score
14
PlayStation 3 used ipo katika condition nzuri sana na inafanya kazi bila matatizo,inauzwa pamoja na Game tatu na Controler moja ambayo ni Wireless.

Bei yake ni 450,000 na ipo Uingereza hivi sasa na ikiwa mtu anahitajia inaweza kusafirishwa kwa ndege na ikiwa mtu anahitajia Game zaidi ya hizo.

Mfano FIFA 14 ama FIFA 15 ambayo ni ya ghali kwakuwa ni mpya itabidi tuangalie na bei yake ikisha unapewa kama utakuwa umeridhika,ipo na Cable zake zote najaribu kuweka picha lakini inakataa.
 

Attachments

  • 10502165_321772534678375_8713316336681422447_n.jpg
    47.8 KB · Views: 215
  • 10376007_321772564678372_4324886350727989567_n.jpg
    57.5 KB · Views: 198
Mimi nauza ps3 yenye pad moja na cd nne za games kwa 450k nicheck kwa 0715388666 / 0687672672
 

Je ntapata yenye thamani ya bei hii 300,000/= ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…