Plasta ya viwango

Mwambie boss tuje tumfanyie skimming Bora zaidii coz plaster imekaa poa Sana na inataka fundi was Finishing mzuri 0768016487
 
πŸ› οΈ UNATAFUTA FUNDI PLASTA WA KUAMINIKA? 🏠

KELVIN HK ndiyo jibu lako!

Tunatoa huduma bora za kupiga plasta (ndani & nje) kwa ubora wa hali ya juu, popote ulipo Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

βœ… Kazi safi, nadhifu, na kwa wakati

βœ… Fundi mwenye uzoefu mkubwa na uaminifu

βœ… Tunafanya kazi kwenye nyumba mpya na ukarabati
βœ… Bei nafuu inayolingana na ubora wa kazi

πŸ“Έ Angalia picha za kazi zetu halisi hapa chini ⬇️

πŸ“ Tunapatikana Tanzania nzima

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: [0789 005 562 πŸ‘‰0719 205 562]

πŸ“± Pia unaweza kutu-inbox kwa haraka zaidi

πŸ‘‰ KELVIN HK – Tunapiga Plasta Kisasa, Tunajenga Imani!

Karibuni sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…