Habari wana jamvi,,,nataka kufanya biashara ya kuprint T shirt na kuziuza kwaiyo raw materials mojawapo ninazohitaji ni T shirt plain nzito nzuri za kiwango yaweza kuwa Manga au brand nyingine nzuri zaidi isiyopauka pia nahitaji boxer aina ya CK Calvin Klein mwenye kujua naweza kuzipata wapi anijuze tafadhali au kama kuna mtu anauza na amesoma uzi huu basi tuwasiliane,,Asanteni
Please tuwasiliane inboxplain zinapatikana kariakoo aina zote unazotaka hela yako tu....
karibu sana workshop kwangu nikuprintie logo zako kwa bei nafuu... kila mashine ya kisasa ipo.. cheki kazi zangu baadhi kwenye hiyo link..
also cheki our page instagram
Kampala kupitisha mzigo border hawasumbui???au kuna malipo ya kulipia mkuu?
Unahitaji kiasi gani? Demand ya hizo products kwa mwezi ikoje?Habari wana jamvi,,,nataka kufanya biashara ya kuprint T shirt na kuziuza kwaiyo raw materials mojawapo ninazohitaji ni T shirt plain nzito nzuri za kiwango yaweza kuwa Manga au brand nyingine nzuri zaidi isiyopauka pia nahitaji boxer aina ya CK Calvin Klein mwenye kujua naweza kuzipata wapi anijuze tafadhali au kama kuna mtu anauza na amesoma uzi huu basi tuwasiliane,,Asanteni
HABARI kaka. KAMA unaconnection n.a. kiwandani Ama wadau wanaweza kunitumiaArusha kiwanda cha sunflag na ATOZ utapata Tshirt nzuri tu tena kwa bei powa kabisa.
mkuu ingia kwenye web site zao unaweza pata mawasiliano, kwa sasa siko Arusha.HABARI kaka. KAMA unaconnection n.a. kiwandani Ama wadau wanaweza kunitumia
AKSANTEmkuu ingia kwenye web site zao unaweza pata mawasiliano, kwa sasa siko Arusha.