Nyendo JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,438 Reaction score 5,089 Apr 15, 2021 #1 SHURBA Mahitaji Ngano nzima nusu Nyama kg1 Tungule 1kubwa Kitunguu maji 1 Somu na tanga wizi kijiko 1cha mezani. Pili pili boga1 Pilipili manga kijiko kidogo Uzile au bizari nyembamba kijiko kidogo Mdalasini kijiko kidogo Mafuta kijiko cha mezani. Magiagi kidonge cha supu Chumzi Namna ya kutayarisha Chemsha ngano mpaka ziweve. Chemsha nyama pamoja na kitungu somu na tangawizi mpaka iwive sana iwe laini laini sana. Ikiiva nyama, kata kitunguu maji na tungule pili pili boga changanya kwenye nyama. Tia magi na spais zote. Ipike kwa dakika 5 au 10 hakikisha vimeiva Vikiiva utatia ngano zako ulizo zichemsha Utachanganya vizuri mchanganyiko wako halafu utatia mafuta na kukamulia limau kidogo. Utapika kwa dakika 5/10 Itakua tayari kwa kuliwa.
SHURBA Mahitaji Ngano nzima nusu Nyama kg1 Tungule 1kubwa Kitunguu maji 1 Somu na tanga wizi kijiko 1cha mezani. Pili pili boga1 Pilipili manga kijiko kidogo Uzile au bizari nyembamba kijiko kidogo Mdalasini kijiko kidogo Mafuta kijiko cha mezani. Magiagi kidonge cha supu Chumzi Namna ya kutayarisha Chemsha ngano mpaka ziweve. Chemsha nyama pamoja na kitungu somu na tangawizi mpaka iwive sana iwe laini laini sana. Ikiiva nyama, kata kitunguu maji na tungule pili pili boga changanya kwenye nyama. Tia magi na spais zote. Ipike kwa dakika 5 au 10 hakikisha vimeiva Vikiiva utatia ngano zako ulizo zichemsha Utachanganya vizuri mchanganyiko wako halafu utatia mafuta na kukamulia limau kidogo. Utapika kwa dakika 5/10 Itakua tayari kwa kuliwa.
2sexy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2020 Posts 780 Reaction score 1,815 Apr 15, 2021 #2 Pishi likishaanza na ngano, linanikata sana sijui kwanini.
KateMiddleton JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 4,131 Reaction score 5,107 Apr 24, 2021 #3 Shurba ndo nini besty Misamiati kama yote
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,191 Reaction score 43,536 Apr 26, 2021 #4 Ni chakula gani hicho? Watu wa bara tunatoa macho tu