Pink hijab days

Pinkhijabtz

Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
5
Reaction score
2
Siku zinasonga tunakaribia siku yetu ya PINK HIJAB DAY umejiandaaje chini ni ratiba za uwakilishi wake kwa hapa Tanzania.

Tar - 2/2/2018 - Itafanyikia Serena Hotel ( Dar es salaam) kuanzia saa 2 usiku na kuendelea,shughuli kutakuwa na Red carpet, Chakula kizuri,Fashion Show kutoka kwa Hijabsta mkubwa,kiingilio ni Tshs. 100,000/= Karibu sana.

Tar 3/2/2018 - Mambo yanahamia Diamond Jubilee,kuanzia saa 2:30 asubuhi - 2:00 usiku,kutakuwa na maonyesho ya bidhaa za kijasiriamali kutoka kwa wajasiriamali wa ndani,Elimu ya kujitambua na kuona Fursa,Fashion show,chakula na michezo ya watoto.Kiingilio ni Tshs. 5000/= tu na kwa watoto chini ya miaka 9 ni bure kabisa.

Ikiwa unahitaji kibanda kwa ajili ya kuonyesha bidhaa zako siku hiyo gharama yake ni Tshs. 50,000/= wasiliana nasi mapema kabla ya siku yenyewe.

Tar 9 na 10 - Mambo yanahamia Zanzibar - Tutaendelea kuwajuza .

Mawasiliano kuhusu chochote na tiketi za Tar 2 Serena Hotel,Tar 3 Diamond Jubilee,ama kibanda cha kuuzia bidhaa tar 3 wasiliana nasi kwa namba 0655445105 au follow instagram page yetu pink_hijabtz

USIKOSE NI NAFASI YAKO KUANZA MWAKA KWA STARA

PINK HIJAB TZ
myhijabmystara
staraforeverywoman

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…