Pikipiki ya bajaj ct-100 inauzwa

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
Nauza pikipiki aina ya bajaj ct-100 bei 1.5m
 
toa maelezo zaidi, i.e ina mda gani toka inunuliwe? imesajiliwa? imelipiwa bima etc?, ni yako au wewe ni dalali? weka picha, pia uko wp?
 
Niko dar.nitaweka photo ya reg yake. Bima iko vizuri ila road licence itakuwa inakwisha katikati ya mwezi huu.
 
Ni yangu kabisa.engine haijaguswaguswa.
 
hujajibu swali la msingi, ina mda gani toka ununue na vp ilishawah kupata ajali yoyote, nasubiri picha
 
Bajaj nazikubali sana zinavumilia shida na raha road.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…