sasa hapo heshima imeshushwa vipi hiyo pikipiki tungetegemea ingekuwa na namba mpya sasa hizo zilizopo unaweza ukaenda ku re new number ukayasikia hayo anayoyasema huyo mdau hapo
Xory bwana erick kwa kukupandishia tangazo,ila wanaopita ni wengi humu amin nakwambia we utaiuza nami nitaiuza tu maana wateja ni wengi tu labda mshindane beiNicheki tuyajenge Humble African