Pikipiki for Sale

Magu legeza babaa......
Ulisema hadi shilingi 500 wanayo iita jero itaheshimiwa
 
Nzima kweli hiyo mkuu? Documents zote zipo? Kama hivyo ata mi naiweza
 
Kwa jinsi boxer zinavyosakamwa na dola sishangai hiyo bei maana ni kero kumiliki pikipiki hasa hapa DSM.
 
Kuna walakini hapo mkuu. Japo maisha yamekuwa magumu ila siyo kiivyo asee
 
Hakuna walakini... Documents zote zipo Mkuu.. Unaruhusiwa kuja kuikagua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…