Pikipiki boxer & pasole zinauzwa bei simple

Tangazo bila Picha halinogi kabsa.weka Picha na specification zake.
 
Tangazo halina picha wala no za simu,we mleta uzi nikikutukana ntakua nimekosea
 
Matangazo ya namna hii kwakweli ni majipu picha huweki sawa, hata namba? Inakera
 
Samanini jamni simu yangu ilileta mushiker kidgo na kujipost post ila karibuni
 
Mi nataka hicho kidogo kama vp tufanye biashara hiyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…