Professional Trader
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 1,220
- 1,122
Hailipi iyo mkuu pikipiki nzima inatembea hiikamata laki nne mkuu.
Plus mbili nikuuzie mkuuLaki tatu na nusu cash
Mkuu ongeza kidogo uje uchukue chombolaki tano chukua
Spare zake zinapatikana huku kijijini?Pikipiki ipo poa
Ina kadi
Inatembea karibu sana BEI Tsh650,000/=kama upo interest contact 0688624299
Ipo dar imetumika kidgo but bado inadai kutumika mkuuI mean mkoa gani!? Na umetumia kwa muda gani!?
Spare zake zip kwenye maduka ya spere sema cjui kwa uko kijijin kwenu coz cpajui mkuuSpare zake zinapatikana huku kijijini?
Mkuu kama upo interest ungewai coz nafikili inaweza icfike saa 9 asubuhiNitakupigia mkuu