ShukranSi unapewa document zote na kuhusu ubora kabla haujanunua unaenda na fundi wako kuikagua
Una uhakika upi kwamba ina thamani ya 3m ? Lazima kuwepo na maelezo unless mtu anauza sababu ana shida na pesa za haraka (chini ya thamani halisi) basi huenda hio 1 m ndio halisi kutokana na kwamba ingekuwa ni punguzo kubwa kiasi hicho na uhitaji wa wengi basi usingeikuta watu wangeshachukua AU huenda wewe una information ambazo majority hawana hivyo unaweza kuzinunua hizo kuzirekebisha na kuuza 1.5mHabari Wana JF.
Nimekua nikizunguka kwenye mitandao ya kijamii nakukutana na watu wanapost wanauza pikipiki used wengi wao wapo DSM.
Piki piki yenye thamani ya Milion3 unakuta imetumiwa kidogo inauzwa Milion 1
Je? Kunausalama kwenye hvyo vyombo au nivyauwizi?
JE? Vipi kuhusu ambao walishawahi kununua havina usumbufu wowote kwa upande wa engine?
Je? Kwa mnunuzi atajuaje kama nimali halali nasio ya wizi ?