Lakini wakuu, ichunguzeni vizuri ramani ya Brazil mtaona muelekeo wake wa kufanana na ramani ya bara la Afrika.
Ila Ramani hiyo ni nzuri kwa kuzingatia kwamba inaonyesha kila kitu kuhusu nchi hiyo kuanzia mpira, msitu wa Amazon na wanyama na ndege waliomo humo bila kusahau shughuli zao za Carnival na ufukwe wa bahari wa balneairo au aka Copacabana.