Kazi gani sasa. Si wangeacha akavaa kama alivyozoea au kwa utamaduni was kabila lake. Wewe uwa unaona Mswati akija anajua anevaa nguo gani. Au wale viongozi was Nigeria wanavaa Vipi wakija kwetu. Hapa mi naona ni kujikomba tu hakuna lolote. Kumbuka jasiri aachi asili