Why not madam? For sure you can
Imefanyaje? Kama uko tayari niambie....teh teh teh
Kuna kitu unanidai, nini vile? Uliniambia kama week sasa
Poa nitakukumbusha kesho si eti eeeh!Yaani wewe unajua kusubiria.....naomba nafasi nyengine ila usisahau nikumbushe..mpka nimekumbuka mwenyewe
Kesho tu hapo, si mbali.... I think fulani ndio anataka
Ni wewe pekeako na hakuna mwengine....wacha nitimize ahadi kwanza