Picha ya siku

Mkuu ina maana humfahamu mtu anayeitwa Rosti-tamu?

Rositamu namfahamu mkuu alafu siku nyingi sura yake imepotea kwenye vyombo vya habari na hapo hilo shavu lake lilivyo kubwa nikashindwa kumtambua
 
Safi wanatumia falsafa ya marekani "hakuna adui wa kudumu wala hakuna rafiki wa kudumu"
 
huyu bwana nilimuona kwenye mkutano wao wa wanahabari juzi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…