englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
OMG! What a nice view?Ni wapi huko mkuu englibertm
Hahahaaa,hongereni.Nitakuja kuwatembelea.Kijijini kwetu
Sawa dada, ndio huko kijijini kwenu anakouliza nifah ndio wapi? Kuzuri sana.
Hahahaaa,hongereni.Nitakuja kuwatembelea.
Kwa hisani yako, naomba unijuze huwezi jua huenda na mimi nikawa mtalii huko kijijini kwenu!Anapajua mwenyewe ndio maana sikutaka tena kupataja