picha ya siku


Wadau hapa ni Tanzania,hapa ni ngorongoro,kama mnakumbuka hii wanaita empakai crater,ukitaja kwenda unaenda kama unaenda sopa lodge moja kwa moja kutoka vpoint ya ngorongro crater ni km 78,na huku ndiko jk alitak kujenga kweny hii rim ya hii crater waamasai wakaliamsha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…