Ukikiangalia hapo ki-Uhuru Kenyatta, just a helpless kid ambacho mzazi wake anaweza akikfanya chochote anachotaka,..., you can even kick him out akaenda akaanguka huko pasipo madhara yoyote kutoka kwake, labda kwa mkono wa dola tu.
Lakini on the contrary, leo ni mtu ambaye ana mamlaka ya kuweka sahihi tu kwenye karatasi na mtu akawekwa kitanzi, au akawa Waziri! Watu naomba sana wawapende watoto, na kama huwezi kuwapenda angalau uwaheshimu sana. Mungu ana maana yake kubwa mno kuwafanya watoto wawepo miongoni mwetu,...., woe to those who are abusing kids, their day isn't very far!