kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,556 Apr 30, 2017 #2 Hapo kuna Hasi(-) na Chanya(+) hazichelwei ku-react.
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,614 Reaction score 5,521 Apr 30, 2017 #3 Imefika wakati pt hawaipendi CDM
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,910 Apr 30, 2017 #4 Safi hahahaha panya na paka Swissme
pipikijiti JF-Expert Member Joined Apr 25, 2017 Posts 309 Reaction score 407 Apr 30, 2017 Thread starter #5 kizaizai said: Hapo kuna Hasi(-) na Chanya(+) hazichelwei ku-react. Click to expand... haha ni kwel alafu kinatokea kizaizai kama jina lako
kizaizai said: Hapo kuna Hasi(-) na Chanya(+) hazichelwei ku-react. Click to expand... haha ni kwel alafu kinatokea kizaizai kama jina lako
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Apr 30, 2017 #6 kizaizai said: Hapo kuna Hasi(-) na Chanya(+) hazichelwei ku-react. Click to expand... Kabisa aisee.
mwenye shamba JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,031 Reaction score 1,900 Apr 30, 2017 #7 Haya magwanda kwenye awamu ya 5 ni yakuvalia ndani tu usijichanganye kutokea nayo misele.Hawachelewi kukubambikizia kesi ya kumtukana yule wa chattle aliezaa mtoto anaitwa shiteba wa call me janet
Haya magwanda kwenye awamu ya 5 ni yakuvalia ndani tu usijichanganye kutokea nayo misele.Hawachelewi kukubambikizia kesi ya kumtukana yule wa chattle aliezaa mtoto anaitwa shiteba wa call me janet