Picha ya siku

Hii picha ukiitazama kwa jicho la pili ina maana kubwa sana.
Hapo ndio dhana ya walio nacho na wasio nacho inapoonesha outcomes zake.
Huyu asie ncho na hustle ile ile. Lakini alie nacho anatumia pesa zake tu hakuna kinacho shindikana.
 
Yap mkuu,bila pesa hakuna elimu.
 
Wengi hawajaielewa cuz wamekurupuka,

hapo naona kuna mingazi mikubwa anayoipanda huyu dogo ila yule mwengine kaweka pesa tufafanulie basi wengine hizi lugha picha zatupa tabu mkuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…