monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,634
Sio za umma tu bali kwenye ofisi yoyote picha hiyo ni lazimaHabar za muda huu ndugu wanabodi,
Naomba msaada wa kufahamishwa kwenye hili 'kwanini huwa kuna picha ya Rais kwenye ofisi za umma?'
Kazi ya picha hii ya Rais huwa nini hasa kwenye ofisi hizi za umma?
Nashukuru sana Mkuu!Sio za umma tu bali kwenye ofisi yoyote picha hiyo ni lazima
Sababu ni
1.kuonesha kiongozi wa nchi kuwa nchi inaongozwa na nani
2.kuonesha mamlaka (hii sina uhakika nayo sana)
Ila awamu hii ofisi nyingi binafsi hazijaning'iniza picha ya raisi huyu wa sasa..
Ukiotewa imekula kwako..Hajaanza kulipisha faini kwa kosa hilo?
Nafikiri ujaelewa kilicho ulizwaYa kwako umeweka kwa Jirani au Ndani kwako?