Mkuu hayo naona ni mandamano ya kichina na hapo ndio wanapoelekea ikulu kumpelekea ujumbe wa malalamiko yao kwa kiongozi wao mpendwa ni mao se tung na chui lai ya kupotea kwa ndege ya abiria na kwa muda mfupi tena ajali ya meli baharini mkuu aalaam msiik