Tukichukua kombe tunaenda kaka, mimi nalipia
Duh! Mwanangu km utaweza lipia #teamRafiki yote tukaparty!!!!!
Mkuu Twende tukatembee!
Good. Lazima waonekane Mndengereko, Mr Rocky, mwallu, miss chagga, kabanga, Mtized, Heaven on Earth na wengine wengiiíi
Good. Lazima waonekane Mndengereko, Mr Rocky, mwallu, miss chagga, kabanga, Mtized, Heaven on Earth na wengine wengiiíi
mkichukua kombe gani?? rafikiTukichukua kombe tunaenda kaka, mimi nalipia
umetaja habari za kuogelea yaani akili yangu ishachanganyikiwa kabisa kwa jinsi nilivyo addicted na maji.dah!!Muhimu uwe unaweza kuogelea
umetaja habari za kuogelea yaani akili yangu ishachanganyikiwa kabisa kwa jinsi nilivyo addicted na maji.dah!!
hahah ndugunaona umeamua unifuchekeshe wakati sikuwa hata na mppango wa kuchekaLigi ya uingereza kaka
haya naona na nyie mmeamua kujidanganya kama sisi kwamba tutamfunga bayern munichBado tuna nafasi rafiki