R.B JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 6,296 Reaction score 2,578 Nov 3, 2014 #1 TFF WANALALAMIKA MAPATO KIDUCHU ; KWELI........ KAITABA BUKOBA YANGA VS KAGERA
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Nov 4, 2014 #2 Kwa jengo hilo naona inasikitisha na kuhunisha lakini sisi hatuna la kusema ni macho tu maana cha mtu ni mavi
Kwa jengo hilo naona inasikitisha na kuhunisha lakini sisi hatuna la kusema ni macho tu maana cha mtu ni mavi
Kiwa JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 2,102 Reaction score 910 Nov 4, 2014 #3 Si ndio kwa rais huko au?
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,871 Reaction score 124,016 Nov 4, 2014 #4 r.b said: tff wanalalamika mapato kiduchu ; kweli........ Kaitaba bukoba yanga vs kagera Click to expand... hii ni hatari sana kwa usalama wao,tena mpaka watoto wadogo!!!!! Jeshi la usalama wa raia liko wapi????!!!!
r.b said: tff wanalalamika mapato kiduchu ; kweli........ Kaitaba bukoba yanga vs kagera Click to expand... hii ni hatari sana kwa usalama wao,tena mpaka watoto wadogo!!!!! Jeshi la usalama wa raia liko wapi????!!!!
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Nov 4, 2014 #5 CleverKING said: hii ni hatari sana kwa usalama wao,tena mpaka watoto wadogo!!!!! Jeshi la usalama wa raia liko wapi????!!!! Click to expand... Subiri litokee la kutokea ndo watashtuka!
CleverKING said: hii ni hatari sana kwa usalama wao,tena mpaka watoto wadogo!!!!! Jeshi la usalama wa raia liko wapi????!!!! Click to expand... Subiri litokee la kutokea ndo watashtuka!