PICHA:Mbunge Joshua Nassari afunga ndoa.

Hongera sana kamanda, mungu awape baraka ktk maisha yenu ya ndoa
 
Zitto lini? umri unakwenda, bahati mbaya bi shida salum ametangulia mbele ya haki bila ya kumuona mjukuu..si sawa...
 
Safi kijana mpiganaji ila harusi na Halima mdee iliishia wapi?
 
Kijana umeleta heshima Meru..hujaenda sijui ktk kanisa kubwa ...km mbunge umekwenda ktk kanisa lenu ambalo naona bado ndilo linajengwa.Ndio maana you the happiest kijana around kila kamanda anakukubali na kukupenda.....
 
Zitto lini? umri unakwenda, bahati mbaya bi shida salum ametangulia mbele ya haki bila ya kumuona mjukuu..si sawa...
Haha W.malecela....MSALANI,....mama makinda vipi?dogo aliomba ruhusa kuoa kabla mama wa bunge kuolewa hata km Kilango?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…