Picha inajieleza

hahaaah si kombe la mbege ni kikopo tuu ambacho nahifadhia memory zenye dload kwa ajili ya Huawei..
 
hizo ni smartphones na zipo hapo kwa matatizo mbalimbali
 
Mi naona mshikio wa mshwaki na maskrepa ya mchina... Una agenda gani kijana hebu funguka!
 
ni zaidi ya hizo ajira mnazopigania vikumbo
 
Hapo ni simu zilizokubwa na fungia ya TCRA, hapo zinafufuliwa kwa mzee wa ufufuo a.k.a Gwajima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…