picha iliyonifurahisha !

Zaidi sana umenikumbusha njia ya kwenda home Mwenge.
 
Aise huyu aliebuni hili tangazo ni mkorofi sana!duuh

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Voda hawatochelewa kuondoa mabango yao hapo na uhasama utaanza Chezea Freemason wewe
 
Yaani TiGO iko juu ya washindani wake ambao ni Vodacom wanaoonekana kwenye mabango ya chini ya bango la TiGO. Ishara imeonesha kabisa.Huna haja ya kutafuta washindani wa TiGO...
 
cjaelewa wajameni au sijui ni futari imenizidi...!

Cjakuzoom naona tu mabango

Zaidi sana umenikumbusha njia ya kwenda home Mwenge.

Yaani TiGO iko juu ya washindani wake ambao ni Vodacom wanaoonekana kwenye mabango ya chini ya bango la TiGO. Ishara imeonesha kabisa.Huna haja ya kutafuta washindani wa TiGO...

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kama Ndivyo basi kunguru ni zaidi ya Tigo we si unamuona hapo juu ya bango ha!ha!ha!
 
na voda wangeandika daima chini ya washindani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…