Taadhali...vitu vya bure madhara yake makubwa
wadau nina photoshop cs4 ambayo haitaji key or activation tatizo nimei zip lakini bado system inasema file to large nataka kui upload ili wadau wapenda graphic design waitumie, nimesahau wapi nili-ipakua ili niweke link nikikumbuka nita iweka soon au kama kuna jinsi nyingine basi tupeane ujuzi au la nitaigawa into twoo folder na ku upload tena nione.
Wewe sasa unamambo yako binafsi,inaonekana una psychological problem!pole sana mkuu!!Taadhali...vitu vya bure madhara yake makubwa
Unaonekana mtata sana wewe! Kama mtu haelewi mwelimishe badala ya kujionyesha kwamba unajua!Probability ni kuwa 0.999999 hujui hata hiyo CS4 kazi yake ni nini.Na kama ni madhara nivitu vya bure mbona unajua RICHMOND haikuwa ya bue lakini madhara yake kwa taifa .............Japo mm ninayo jaribu kuiweka hiyo program kwenye file sharing website kama mediafire na rapidshare .Lakini usiiiiite jina ambalo wanaweza kuifanya waifute.
Unaonekana mtata sana wewe! Kama mtu haelewi mwelimishe badala ya kujionyesha kwamba unajua!