mkandumbwe
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 424
- 371
Haraka haraka ni kukosa baraka. Ungetazama kwanza text ya juu yako kabla ya ku comment. Nimeweka picha kaka.
Nilinunua mwaka hana niko Dar.umenunua mwaka gani? upo mkoa Gabi?
Mkuu kwa nini unaiuza lakini?? Au umetegeshea ikamfie mtu??
Unaruhusiwa kuja na fundi kufanya ukaguzi mkuu. Kama fundi wako akiridhika ipo okay tunafanya biashara.Mkuu kwa nini unaiuza lakini?? Au umetegeshea ikamfie mtu??