Mkuu kwa hii bei lazima ni mitumba.., halafu hizi np series (majembe ya kweli zinapiga kazi sana) huwezi kupata brand new kwa sasa as canon walishaacha kuzitengeneza wakaamia kwenye gp series na sasa wapo kwenye ir series (image runners) kwahio usitegemee kwamba utapata np series brand new (ila ni mashine nzuri kwa biashara)Je ni mpya au mitumba?
Asante mkuu, vipi kuhusu warranty?
Kaka warranty imekaaje? na hizi machine zinaambatana na accessories zake?