Photocopy Machine za Rangi 2 Zinauzwa na Printer ya Mabango

Ajira Net

Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11
Reaction score
14
Mashine Tatu Zinauzwa Zimeagizwa Toka Uk. Hazijatumika Tz Bado.

1. Canon Ir C 3200N
Hii ni Printer, Scanner na Photocopying Machine Yenye Uwezo wa Kutoa Copy za Rangi na za Black and white kwa Ukubwa wa Size ya A4 na A3.

Mashine hii ina uwezo wa Kutoa Copy 32 kwa dakika kwa karatasi zote yaani A3 na A4 iwe za Rangi au Kawaida.

Bei yake N Tsh 2,300,000/-. Kwa Wakazi wa Dar Unaweza Lipa kwa Installments. Walio Mkoani itakubidi upate Mdhamini Toka Dar.

2. Canon Ir C 2880 i
Hii ni Printer, Scanner na Photocopying Machine Yenye Uwezo wa Kutoa Copy za Rangi na za Black and white kwa Ukubwa wa Size ya A4 na A3.

Mashine hii ina uwezo wa Kutoa Copy 28 kwa dakika kwa karatasi zote yaani A3 na A4 iwe za Rangi au Kawaida.

Imekuja Ina Tatizo la Sensors za Touch Scree Juu na Haina Wino. Matengenezo Hayazidi Laki 3.

Bei yake N Tsh 1,700,000/-. Kwa Wakazi wa Dar Unaweza Lipa kwa Installments. Walio Mkoani itakubidi upate Mdhamini Toka Dar.

3. HP Plotter DesignJet 755CM
Hii ni Printer ya Mabango. Inakubali Aina Tofauti Tofauti za Karatasi na Materials ya Kufanana na Hayo.

Ina Upana wa Futi 2 So Inatosha kutoa Bango la Ukubwa Mzuri Tu.

Yenyewe inatakiwa Tsh 2,300,000/- Maongezi Yapo. Walio Dar wanaweza Lipia kwa Installments while wa Mkoani Unaweza Tafuta Mdhamini wa Dar.

Hizi Mashine Haziwahi Kutumika Tz, Ukinunua Utapata Uthibitisho wa Documents zoote za Tra Bandari na TBS.

Wasiliana Nami kwa Whatsapp No. 0717 44 72 04 au Kawaida. Pia 0752 98 13 80.
Mashine Zote zipo Tandika Magorofani Jirani na Chuo cha Bandari na Utalii College.

Kwa Maelezo Zaidi naomba nicheki kwenye simu coz si Muda wote nakuwa huku JF.

Shukrani.
 
Attachments

  • IMG_20160904_065815 (1).jpg
    127.1 KB · Views: 197
  • IMG_20160920_180745 (2).jpg
    196 KB · Views: 166
Unapata na cartage za ziada? & inatumia wino wa aina gan?
 
Unapata na cartage za ziada? & inatumia wino wa aina gan?
Photocopy zinatumia Tonners ambazo zipo za Kurefiil ukinunua, utapata na Tonner zake bure. Pia Printer ya Mabango ina Tumia wino wa Maji. Ukinunua Utapata na Wino wake wa Kurefill cc 100 kwa kila rangi bure. na Kuna Cartridge moja ya black ya ziada.
 
Karibuni.
 
Vipi mkuu photocopy bado unazo au nahitaji tufanye biashara
 
Tengeneza kabisa mzee siyo unasema tu haizidi laki 3 halafu inakuja kuwa 1m matengenezo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…