Photocopy and printer repair

Joined
Nov 28, 2019
Posts
4
Reaction score
3
:Tunatengeneza photocopy machine za aina zote kwa gharama nafuu kabisa
:Tunatengeneza printer za aina zote
:Tunauza photocopy machine pamoja na printer
:Tunafanya installation kwenye mashine zote
:Tunauza spea za photocopy na printer
Wasiliana nasi kwa nambari 0687982122/ 0766376283

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Mkuu,
Nina zangu nauza nimefunga ofisi, mashine ni ir 2800, ir 3300 Na ir 2545i (haina power supply). Kama tunaweza kufanya biashara au unateja tuzungumze.

Asante


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Uko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…