Phootoshopping???????

Usiloliweza weye wenzio waweza. Mbona kitu cha kawaida tu haswa kule Geita? Nenda kwa mzee Kigoda Handeni uone. Mbona ng'ombe waligeuka nyani na kuruka tawi mpaka tawi???
Sayansi hii ingefundishwa vizuri Fast Jet zingekosa wateja
 
ndio maana inapigiwa upatu na akina Kabanga ni duka picha
 
Kama hujalogwa kila kitu cha kichawi ni stori, vinginevyo; mh! uchawi noma
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…