Phone memory

tonii herrera

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2015
Posts
416
Reaction score
281
wataalam naombeni msaada wenu.cmu yangu inatoa kimesej kuw cmu memory imejaa alaf inanesema ni unstall apps.sasa nime unstal zile zote nilizodownlod lkn bado hicho kimesej kinakuja yaan zimebak zilizokuja na cmu sasa nashindwa kuelewa inakuaje

naomben msaada wenu wataalam
 

Ungesema moja kwa moja ni simu ya aina gani ( Jina na model)
Ingekuwa simple kujua tatizo lipo wapi.
 
kama hauna data muhimu sana jaribu kuiflash ...
 
Hebu jaribu kuifanyia hard reset.
Kwa kuzima simu kisha iwashe ukiwa umeshikilia power batan+ batan ya kupunguzia sauti kwa wakati mmoja yatakuja maandishi ya njano tumia hizo batan za saut kuteremsha ile bar hadi kwenye neno factory reset kisha bonyeza batan ya kuzimua simu kuselect simu itafuta kila kitu nakuanza upya.
 
Plan B:
Tafuta app ya ku clean junks, cache nk mfano App ya clean master na zingine zikusaidie kurudisha nafasi iliyolika au kupotea bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…